Search This Blog

Friday, October 18, 2013

JUMA PONDAMALI KUSHIRIKI FIESTA SUPER NYOTA!

Golikipa wa zamani wa Pan African na timu ya Taifa, Taifa Stars Juma Pondamali amechaguliwa kuwa miongoni mwa wasanii wa muziki wa kizazi kipya maarufu kama Bongo Flavour kushiriki kwenye FIESTA SUPER NYOTA.

No comments:

Post a Comment