Search This Blog

Monday, October 28, 2013

JAMAL MALINZI NDIO RAISI MPYA WA TFF

Kwa taarifa tulizozipata hivi sasa ni kwamba Jamal Malinzi ameshinda kitu cha urais wa shirikishi la soka nchini TFF baada ta kumshinda mpinzani wake Athumani Nyamlani. Pia Wallace Karia amewabwaga Iman Madega na Ramadhan Nassib katika kiti cha umakamu, kwa taarifa zaidi endelea kutembelea mtandao huu.

No comments:

Post a Comment