Search This Blog

Friday, September 6, 2013

NINI MAONI YAKO JUU YA HIZI FAULO ZA DIDIER KAVUMBAGU.

6 comments:

  1. ni mpuuzi sana ngoja watamfanyia kitu mbaya halafu na yeye akae nje ya uwanja ajionee.

    ReplyDelete
  2. Nani amguse? refa amtoe hapendi kazi au usalama wake?! , c unajua tena, wakiadhibiwa wanarusha mawe,ngumi!wakifungwa refa atafungiwa!

    ReplyDelete
  3. Mpira wa Tanzania magumashi huyu jamaa alitakiwa kufungiwa hata miezi mitatu maana alikuwa anacheza rafu za kumpiga mtu waziwazi......SWALI PIA KWA NINI ALIJIAMINI KUFANYA HIVYO??SOKA LA BONGO HATUFIKI..MAWAZO YANGU TU

    ReplyDelete
  4. Ukweli huyu jamaa nafikiri anamatatizo kwani ukiangalia kuanzia faulo ya kwanza yeye yupo chini halafu anampiga mtama makusudi kabisa haya hii ya pili mpira upo mbali kabisa anampiga kiwiko huku ni kushindwa au kuishiwa maarifa akacheze ndondo tu siyo mchezaji wa kimataifa huyu.

    ReplyDelete
  5. Hatari kwa yanga wasipomkanya Azam Tv itamuubua ,hebu muelezeni jamaani hata kwa kifaransa.

    ReplyDelete
  6. mimi ni shabiki wa yanga ,lakini kwa hizi faulo za kipuuzi na za makusudi za Didier kavumbagu zinaonyesha jinsi gani huyu staa amekosa nidhamu ya soka ,kama mimi ningekuwa refa ile ya kwanza ilitosha kumpeleka nje ya uwanja kwa RED CARD.
    HASHIM

    ReplyDelete