Search This Blog

Saturday, September 21, 2013

LIVE SCORE: SIMBA SC 2-2 MBEYA CITY


Full time Mbeya City wanalazimisha suluhu na Simba.

DK 90: Simba 2 - 2 Mbeya City

Dk 85 Betram Mwombeki anakosa bao la wazi akiwa ndani ya eneo la hatari la Mbeya City 

Dk 79 Sub: Simba inafanya mabadiliko ametoka Amri Kiemba ameingia Ramadhan Singano 

DK 75: Simba 2-2 Mbeya City

DK 65: GOOOOO Mbeya City wanapata bao la kusawazisha.

DK 55: Simba 2-1 Mbeya City

Mpira ni mapumziko 

DK 45: Simba 2-1 Mbeya City

DK 37 Paul Nonga anaipatia Mbeya City bao la kwanza. Simba 2-1 Mbeya City

DK 31: Tambwe anafunga bao lake la sita katika mechi mbili - Simba 2-0 Mbeya City

DK 29: Amis Tambwe anaipatia Simba bao la kuongoza

DK DK 10 - Simba SC 0-0 Mbeya City

Mpira umeanza katika dimba la uwanja wa Taifa Simba 0-0 Mbeya City

6 comments:

  1. Jitahidi uwe una update matokeo kwa wakati

    ReplyDelete
  2. tuwe wakweri mbeya city imeleta challenge kubwasana amsha amsha amsha objective to win

    ReplyDelete
  3. Hiyo siyo suluhu ni sare
    Suluhu maana yake bilabila

    ReplyDelete
  4. Thanks,naona uko kisayansi Kama EPL

    ReplyDelete