KALI YA LEO: JONJO SHELVEY AWEKA REKODI - AHUSIKA NA UTENGENZWAJI WA MABAO YOTE MANNE YA KATI SARE YA 2-2 KATI YA LIVERPOOL VS SWANSEA - USHAHIDI WA PICHA ZA MNATO
Mchezaji Jonjo Shelvey usiku wa Jumatatu ulikuwa wa aina yake kwa upande wake baada ya kuhusika na ufungwaji wa mabao yote manne katika mchezo wa sare ya 2-2 kati ya Swansea dhidi ya timu yake ya zamani ya Liverpool. Hapo juu tunaona Jonjo akifunga bao zuri katika dakika ya 3 tu ya mchezo, lakini ya muda ........................................................... akachomesha bao la kusawazisha la Liverpool kama unavyoona hapo chini
Mabao yote hayo mawili hapo juu yalifungwa katika kipindi cha dakika 5 za mwanzo, lakini baada ya muda kidogo akampa assist Victor Moses wa Liverpool aliyefunga bao la kuiweka timu yake mbele dhidi ya Swansea.
Hakusihia hapo Jonjo akaswazisha makosa yake kwa kumtengenezea Michu goli la kusawazisha la Liverpoool.
No comments:
Post a Comment