Search This Blog

Tuesday, August 6, 2013

VIDEO: ANGALIA YANGA ILIVYOIFUMUA 3-1 MTIBWA SUGAR

2 comments:

  1. Binafsi nimekusamehe mwinyi, maisha ni yako na si ya simba wala TFF, ukifulia hawatakujua, la msingi umeonyesha kukomaa kiakili na umekuwa muungwana kwa kuomba radhi kama watanzania waliostaarabika wanaavyofanya!!!, komaa sana ili uwe na maisha mazuri,piga sana mazoezi linda mazoezi!!!utakimbiza sana tu, ALL THE BEST

    ReplyDelete
  2. mpira ulikuwa mzuri kiukweli pande zote mbili wachezaji walitimiza majukumu yao ya uwanjani sema zipo kasoro za kiubinadamu lakini nimependa mchezo kiujumla

    ReplyDelete