Search This Blog

Sunday, August 18, 2013

PHOTOS: WAYNE ROONEY ALIPOGOMA KUSHANGILIA MAGOLI NA WENZAKE KWENYE MCHEZO DHIDI YA SWANSEA

Wachezaji wa Manchester United wakishangalia na Wayne Rooney akiwa hana habari akizungumza na refa.



8 comments:

  1. Wadau pamoja kaka shaffih dauda naomba kuuliza hivi ktk sheri za TFF ipo sheria inayohusu mchezaji kujisajili na timu mbili adhabu yake ni nn? Je iliwahi kutokea mchezaji kufungiwa kwa sababu ya kujisajili na timu mbili? Naomba msaada wenu!

    ReplyDelete
  2. Nadhani kwa wenzetu ambao wame advance hyo sio ishu saaanaaaa, lkn kama ingekua hapa kwetu ingekua noma, maana hao wanao jiita wadau wangeikomalia hadi huyo mchezaji angeomba ardhi ipasuke ajifiche. Suala ni hv, MAN UTD inamuhitaji ROONEY, lkn ROONEY haiitaji MAN UTD. Hapo kwa mm naona wangemruhusu aende anapotaka. Kwasababu anakua anafanya kazi sehem asioyoitaka kutoka ndani ya Moyo wake, yaani hana mapenzi tena na timu. ALEX NGAI WA KINONDONI MKWAJUNI.

    ReplyDelete
  3. Alionekana hana furaha, ataondoka dakika za mwisho kwenda Chersea au Arsenal

    ReplyDelete
  4. alikuwa ameumia sio kwamba ajaenda kushangilia goli kwa 7bu zake la achen udaku baba kai aendi kokote

    ReplyDelete
  5. Dauda acha unazi bac na valencia 2semeje

    ReplyDelete
  6. Huo ni uongo, alikwambia kama aligoma? Alikuwa amepata maumivu baada ya kufanyiwa rafu na beki wa Swansea ktk goli la RvP na la Welbeck halafu we unapotosha kuwa aligoma!

    ReplyDelete
    Replies
    1. wewe ndio muongo. hauna macho au mapenzi ya kibongo. aliependa haoni. hakushangalia hata mpira ulivyoisha hakishangalia. waachieni wazungu timu zao

      Delete
  7. muuzeni. pesa zitawasaidia kulipa madeni. punguzeni madeni jamani

    ReplyDelete