Search This Blog

Thursday, July 25, 2013

NINI MAONI YAKO WEWE MDAU KUTOKANA NA HIZI '' HEADLINES ''



5 comments:

  1. I think simba and young africans are exercising prudence n being realistic. These are professional prayer and they cost a lot to the team, thus, they must be productive to the team. Serious teams in the world wont recruit zny player without any medical examinations and prove their gitness. Thus, if simba sees Owino is fit, its quite normal for them to recruit him; and if young africans sees the "nigerian striker" isnt fit, they are right to show him the door! Those are the rulrs of the game! Thanks and good luck to all players! Take care of your health and have health insurances.

    ReplyDelete
  2. Club zetu azijipangi uwa zinakurupuka tu ktk seals la usajiri Kwanja from boom fc ilala

    ReplyDelete
  3. Waandishi maskini hutoa habari za kimaskini..............Tumewachoka mnandika KINAZI ili muuze magazeti.....Watanunua wajinga

    ReplyDelete
  4. nilicho jifunza ni kwamba waandishi wa magazeti hawapati habari ndipo wakaandika ila wanaandika kabla ya kupata habari huu ni ujinga

    ReplyDelete
  5. umbumbu ubabaishaji umekithiri katika nyaja zote za taifa letu.na waandishi badala yankuelimisha wamekuwa wapotoshaji wakuu sijui kwa maslahi ya nani.hivyo ni vichwa vichache vya khabari vyenye khabari tafauti na matukio halisi nakumbuka pia hivi karibuni kuna gazetiti liliandiak yanga wamalizana na kiza na kasaini mkataba mpya wa miaka miwili na gazeti hilo hilo likarudi kuandika kiza karudi uganda babada ya kutoafikiana na yanga sasa vipi walisema kasaini na wakatoa picha ya kiza akiwa na sefu magarikwa hiyo utaona ubabaishaji mkubwa wa waandishi wa khabari.kwenye vilabu usiseme ndio kumeoza kabisa mi napata hata shaka kuaa azam nao juhudi zao za kuonyesha njia zitafisidiwa na hawa mapapa wa soka letu ambao watu fulani wako ndani ya simba na yanga kama miungu watu hapangi maendeleo zaidi ya ubinafsi na maslahi yao mungu ainusuru soka ya tz mungu ibariki tanzania

    ReplyDelete