Balozi wa China, Lu Youqung akiweka sahihi katika hati ya makabidhiano ya uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, leo. Kulia ni Waziri wa Habari, Vijana Utamaduni na Michezo Dk. Fenella Mukangara.
Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana Utamaduni na Michezo, Sihaba Nkinga na Balozi wa China, Lu Youqung wakati wa hafla ya makabidhiano ya uwanja wa Taifa.
Balozi wa China, Lu Youqung akimkabidhi ufunguo Waziri wa Habari, Vijana Utamaduni na Michezo, Fenella Mukangara kama ishara ya makabidhiano rasmi ya uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, leo.
PICHA ZOTE NA HABARI MSETO BLOG
kwa hiyo sasa kile kipengee maarufu (wachina)ktk mgao mechi za taifa kimekomaaaaaaaaaaaa??????????
ReplyDeleteCOMMENT YA HAPO JUU. HAPANA HIKO KIPENGEE KITAKUWEPO ILA KITABADILISHWA JINA (WATANZANIA)CHEZEA BONGO LAND WEYE
ReplyDelete