Search This Blog

Tuesday, July 30, 2013

PICHA YA SIKU: IANDIKIE CAPTION HII PICHA!


9 comments:

  1. '%$#& zake hii tabia yake ya kutufungiha leo lazma nimtoe ngeo'

    ReplyDelete
  2. Refa akiwapa penati tu naanza na jiwe la kichogo!

    ReplyDelete
  3. Kibajaji je inawezekana?July 31, 2013 at 5:45 AM

    Hata kidogo,Haiwezekani!kutufungisha kizembe, haiwezekani!mivivu, mizembe, goigoi haiwezekani! Kuendelea kuwa nayo kwenye timu yetu ya taifa haiwezekani! Mechi ya nne mfululizo inatufungisha, nasema haiwezekani!!!! Bora kuitimua michezaji ya namna iyo!!! Leo nimeifuata hukuhuku mazoezini kuikomesha!!!

    ReplyDelete
  4. Ole wake tufungwe!!.

    ReplyDelete
  5. refa akilitibua tu ninae

    ReplyDelete
  6. ni ulinzi shirikishi tu hapa

    ReplyDelete
  7. Kudadadadadeki.....yani ntapga mtu mawe hapa sasa hivi....

    ReplyDelete
  8. NDIO ZETU, RAHA YA MECHI ZA MCHANGANI NI MAWE.

    ReplyDelete
  9. Afisa habari wa Klabu ya Simba Mr. Kamwaga akijiandaa kuwashambulia wachezaji wa cmba kwa mawe cijui tatizo ni nini hapo?

    ReplyDelete