Search This Blog

Friday, July 12, 2013

BREAKING NEWS: SIMBA YAIPIGA BAO YANGA - YAMSAJILI MFUNGAJI BORA WA KAGAME HAMIS TAMBWE KWA MIAKA 2

Klabu ya Simba ya Dar es Salaam imefanikiwa kumsajili mfungaji bora wa michuano ya Kagame Cup 2013 Hamis Tambwe kutokea Vital O ya Burundi.

Tambwe ambaye pia alikuwa akiwania na mabingwa wa Tanzania bara Yanga, amesaini mkataba wa miaka miwili wa kuitumikia Simba.

Tambwe amesaini mkataba huo mbele ya mwenyekiti wa kamati ya usajili ya Simba. 

7 comments:

  1. yanga huyu hawamtaki?maana hawakawii kutumia hila na mbinu mara ni mkongo kule yuko kwa mkopo mara hivi mara vile.nampongeza sana mr zakaria hans popee kwa usajili huu umetupa kitu tulichotarajia wana simba mungu akuweke

    ReplyDelete
  2. Hao Yanga wamezoea kusajiliwa na Simba. Kwao mchezaji mzuri ni yule tu anayetafutwa na Simba, tabia hii ya kunyang'anyana wachezaji kwa njia waifanyao Yanga ipo siku historia ya ajabu itatengenezwa hapa nchini maana watendewa watachoka kwani wanaweza kuwazulu wachezaji kwa kile kinachoitwa kuwalubuni wachezaji waliopokea pesa timu nyingine na kuwalazimisha warudishe ili wajiunge nao kama ilivyokuwa kwa Mbuyu Twite. Hali ile ilinitisha kwa sababu ingeweza kuhatariasha uhai wa mchezaji kwa hasira tu za mashabiki wenye hasira kali. Naushauri Uongozi wa Yanga kuachana tabia hii ili kuendeleza amani na utulivu katika mchezo wa soccer. Hongera viongozi wa Simba na mashabiki wake kwa kutoonesha hasira ili kuendeleza amani michezoni. BY MKINGA C.J wa Kimara DSM

    ReplyDelete
  3. Hao Yanga wamezoea kusajiliwa na Simba. Kwao mchezaji mzuri ni yule tu anayetafutwa na Simba, tabia hii ya kunyang'anyana wachezaji kwa njia waifanyao Yanga ipo siku historia ya ajabu itatengenezwa hapa nchini maana watendewa watachoka kwani wanaweza kuwazulu wachezaji kwa kile kinachoitwa kuwalubuni wachezaji waliopokea pesa timu nyingine na kuwalazimisha warudishe ili wajiunge nao kama ilivyokuwa kwa Mbuyu Twite. Hali ile ilinitisha kwa sababu ingeweza kuhatariasha uhai wa mchezaji kwa hasira tu za mashabiki wenye hasira kali. Naushauri Uongozi wa Yanga kuachana tabia hii ili kuendeleza amani na utulivu katika mchezo wa soccer. Hongera viongozi wa Simba na mashabiki wake kwa kutoonesha hasira ili kuendeleza amani michezoni. BY MKINGA C.J wa Kimara DSM

    ReplyDelete
  4. safi sana. tujipange msimu ujao ngao irudi msimbazi. Mamea Kanumi

    ReplyDelete
  5. Hongera viongozi wa Simba kwa juhudi na harakati zenu za kuimarisha kikosi cha Simba na kuwapiga bao la kisigino Yanga wanaosubili kumfuatilia mchezo yule tu anayetafutwa na Simba. Wadau tunawaomba msimwache yule mwenye misuli wa Uganda aliyekuwa anacheza VIETNAM, pia hakikisheni Oloya anatua Msimbazi ili kuimarisha safu ya Ushambuliaji. Yeyaaaaa! BY MKINGA C.J wa Kimara DSM

    ReplyDelete
  6. mmeipiku yanga au mmejipiku wenyewe?????????? tatizo lenu wanasimba hamuishi kujistukia, mchezaji mmempenda wenyewe, mmemleta kwa ulinzi mkubwa, mmemsainisha, then mnasema mmeipiku yanga kiaje??????????? acheni kujistukia hakuna kiongozi yoyote yanga aliekuwa akimnyemelea tambwe.......jengeni timu yenu sisi tuko full kikosi kile kile kilichowanyoa 2 bila......

    ReplyDelete