Televisheni ya Azam inayojulikana kama Azam TV imeingia mkataba wa miaka mitatu wa kuonesha michuano ya Ligi Kuu Tanzania Bara na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) ambapo mkataba huo umetajwa kuwa na thamani ya Tsh bilioni 6.5
Aidha Televisheni hiyo itakuwa na majukumu ya kuonesha mechi za moja kwa moja (LIVE) zisizopungua 60 za Ligi hiyo huku nyingine 180 zikiwa zimerekodiwa.
SOURCE: GLOBAL PUBLISHER
Ni mwanzo mzuri,ila vilabu vitafaidika vipi na hiyo sum?
ReplyDelete