Search This Blog

Thursday, June 20, 2013

USHAHIDI WA UWEPO WA GONZALO HIGUAIN NDANI YA JIJI LA LONDON KUJIUNGA NA ARSENAL

Higuain akisaini autograph ya shabiki wa Arsenal katika uwanja wa ndege wa Heathrow London. 
Gonzalo Higuain ameonekana akiwasili jijini London tayari kwa ajili ya vipimo vya afya ili kukamilisha uhamisho wa kujiunga na klabu ya Arsenal.

2 comments:

  1. Hatimae mzee wenger avunja mwiko,sasa mashabiak wa asernal wanaweza kunenepa.

    ReplyDelete
  2. Summer with coat? Nahisi ni uongo

    ReplyDelete