SIKU KAMA YA LEO MWAKA 2009: EGYPT YAWEKA REKODI YA KUWA TIMU YA KWANZA KUIFUNGA ITALIA
Siku kama ya leo mwaka 2009 Mechi kati ya Italy na Egypt ilikuwa ni ya 100 kuchezwa kwenye historia ya kombe la mabara. Egypt waliifunga Italia kwa 1-0, na hivyo kuwa timu ya kwanza kutoka Africa kuifunga Azzurri.
No comments:
Post a Comment