Search This Blog

Monday, June 24, 2013

PICHA YA SIKU: THEO WALCOTT AFUNGA NDOA NA MCHUMBA WAKE WA UTOTONIWinga wa kimataifa wa Arsenal Theo Walcott mapema wikiendi iliyopita amefunga ndoa na mchumba wake aliyedumu nae tangu wakiwa wadogo.

 Theo Walcott na mkewe Melanie Slade ambao wamedumu kwenye mahusiano rasmi kwa miaka tisa walifunga ndoa huko nchini ItalyNo comments:

Post a Comment