SIKU KAMA YA LEO MWAKA 2012: PATRICK MAFISANGO ALIPOTEZA MAISHA YAKE KWA AJALI YA GARI
HILI NDIO GOLI LA MWISHO KUFUNGWA NA MAFISANGO WAKATI WA UHAI WAKE
Tarehe kama ya leo mwezi wa tano mwaka 2012, klanu ya ya Simba ilimpoteza kiungo wao wa kutumainiwa Patrick Mafisango Mutesa aliyepata ajali ya gari maeneo ya Tazara wakati akijaribu kumkwepa mwendesha pikipiki na
kwa bahati mbaya gari lake likakosa balance na kuingia mtaroni na hapo
ndipo alipopeteza maisha.
ilikuwa TAZARA au Keko?
ReplyDeleteR.I.P Mutesa Mafisango, but umetuachia Amri Kiemba nae anafuata njia zako.
ReplyDelete