Search This Blog

Saturday, May 18, 2013

MPAMBANO WA SIMBA NA YANGA KATIKA PICHA.


    Haruna Shamte akipambana na Simon Msuva wa Yanga...
    Nahodha wa Yanga Nadir Haroub akinyanyua ubingwa wa ligi kuu ya VODACOM msimu wa 2012/2013


    kikosi cha Simba kilichoanza hii leo....
    Makocha wa Yanga Ernst Brandts pamoja na Felix Minziro wakijadiliana jambo.....




    Sir Juma Nature pia alikuwepo kutoa burudani.....




  Hili ndo lilikuwa bao la kwanza la Yanga lilifungwa na Didier Kavumbagu kwa kichwa....
   Mrisho Ngassa akiwa amevalishwa jezi ya YANGA kwa mara nyingine tena huku akiwa amefurahi kweli kweli...



   Mwamuzi wa mchezo wa leo Saanya akiwa chini mara baada ya kuumia.....

6 comments:

  1. Safi sana yanga kwa kumumeza mnyama ?

    ReplyDelete
  2. mji umetuliaa,wastaarabu wameshinda.Ingekuwa simba mdio wameshinda tungekoma kwa matusi hapa mjini.Hakika Yanga ndio ilikuwa timu bora zaidi kwa msimu mzima,kocha bora,kipa bora n.k ndio timu ilioshinda mechi nyingi zaidi,imefunga magoli mengi zaidi,imefungwa magoli machache zaidi.Yanga imezifunga timu 12 kati ya 13 ilizocheza nazo yaani ni Mtibwa pekee ndio haikufungwa na Yanga.Aidha Yanga imezifunga timu zote zilizoshika nafasi tano za juu,yaani Azam,Simba,Kagera na Coastal.Ukiangalia simba hakika msimu huu ilikuwa mbovu kabisa, imefungwa magoli 25 katika mechi 26,imeshinda mechi 12 tu katika 26

    ReplyDelete
  3. Yanga sio timu ya wastaarabu yanga timu ya low class, simba ndio timu ya wastaarabu timu ya middle class, wewe kweli unachekesha leo yanga wamekua timu ya kistaarabu wakati wao ndio wachochezi wa fujo zote uwanjani mpaka nje ya uwanja watu mpaka watu kuporwa

    ReplyDelete
  4. timu ya low class inaweka kambi uturuki,timu ya middle class inafadhiliwa na mwanamke du

    ReplyDelete
  5. We simba njaaa kishenzi, matusi, fujo, vibaka wote wako uko.......YANGA tumejipanga

    ReplyDelete