Search This Blog

Wednesday, May 1, 2013

LIVE SCORE: YANGA SC 1 - 1 COASTAL UNION FULL TIME

Dk 81 Nizar Khalfan wa Yanga anapiga shuti kali langoni kwa Coastal lakini mpira unagonga mwamba na kurudi uwanjani kisha mabeki wanaokoa mpira. Yanga 1-1 Coastal

Dk 81 Nizar Khalfan wa Yanga anapiga shuti kali langoni kwa Coastal lakini mpira unagonga mwamba na kurudi uwanjani kisha mabeki wanaokoa mpira. Yanga 1-1 Coastal

Kipindi cha pili cha mchezo kimeanza,
Young Africans 1 -1 Coastal Union
anaingia Haruna Niyonzima kuchukua nafasi ya Abdallah Mnguli

Dk 45 HALF TIME! Yanga 1-1 Coastal

Dk 41 Said Bahanuzi wa Yanga anakosa bao la wazi baada ya mpira wa kichwa aliopiga kutoka nje kidogo ya lango la Coastal.

Dakika ya 30, Young Aficans 1 - Coastal Union
DK 20:  Young Aficans 1 - Coastal Union
Dakika ya 16, Abdi Banda anaipatia Coastal Union bao la kusawazisha
Young Africans 1 - 1 Coastal Union
 Dakika ya 15, Young Africans 1 - 0 Coastal Union
Dk 3 GOOOO....! Jerry Tegete anaifungia Yanga bao la kwanza akimalizia pasi ya Nurdin Bakari. Yanga 1-0 Coastal

Kick Off: Mpira ndio umeanza uwanja wa Taifa kati ya
Young Africans Vs Coastal Union

 
Young Africans line-up to face Coastal Union today in VPL:
1.Said Mohamed - 30
2.Mbuyu Twite - 6
3.Oscar Joshua - 4
4.Nadir Haroub 'Cannavaro' - 23 (c)
5.Kelvin Yondani - 5
6.Nurdin Bakari - 22
7.Nizar Khalfani - 16
8.Frank Domayo - 18
9.Said Bahanuzi - 11
10.Jerson Tegete - 10
11.Abdallah Mnguli 'Messi' - 12

Subs:
1.Yusuph Abdul - 19
2.Shadrack Nsajigwa - 2
3.Stephano Mwasika - 3
4.Godfrey Taita - 17
5.Omega Seme - 21
6.George Banda - 25
7.Haruna Niyonzima


 Hiki ndio Kikosi kamili cha Coastal Union kitakacho Shuka dimbani dhidi ya Young Africans (Yanga)

1.Shabani Kado (GK)
2.Hamadi
3.Othamani
4.Chuma
5.Phillipo Mugenzi
6.Abdi banda
7.Joseph Mahundi
8.Razakh Khalfan
9.Pius Kisambale
10.Suleiman Salembe
11.Daniel lyanga

Reserve
1.Rajabu(GK)
2.Suma
3.Mbwana Kibacha
4.Ally Ufudu
5.Mohamedd Hassan
6.Atupele Green
7.Mohamed Sudi

No comments:

Post a Comment