Search This Blog

Saturday, May 4, 2013

LIVE SCORE: AS FAR RABAT 2 - 1 AZAM FC FULL TIME


Mpira unamalizika kwa Azam kutolewa kwa kufungwa mabao mawili kwa moja.

DK 90: Mwamuzi anaongeza dakika 3 za nyongeza.

DK 88: AS FAR Rabat 2 - 1 Azam FC

 DK 82: John Bocco anapiga penati na kukosa

DK 81; Azam wanapata penati baada ya beki wa AS FAR Rabat kuunawa mpira.

 DK 80: Azam pamoja na kuwa pungufu wanajitahidi kwenda mbele kujaribu kutafuta bao la kusawazisha - Ameingia Gaudence Mwaikimba.

 DK 75: AS FAR Rabat 2 - 1 Azam FC

 DK 74: Waziri Omary anapata kadi nyekundu baada ya kumshika mchezaji wa AS FAR Rabataliyekuwa anaelekea langoni mwa Azam.

 DK 68: Waziri Omary wa Azam anapewa kadi ya njano kwa mchezo mbaya.

 DK 65: Anatoka Brian Umony anaingia Khamis Mcha kwa upande wa Azam

 DK 60: Timu zote zinapoteza nafasi kadhaa za kufunga katika kipindi cha dakika 3 zilizopita.

DK 55: Mwamuzi anatoa kadi nyepesi kabisa nyekundu kwa David Mwantika wa Azam

DK 48: Azam bado wanaendelea kucheza kwa kushambulia lango la AS FAR Rabat lakini wanakosa umakini wa kuweza kuingiza mpira kwenye 18 ya wapinzani.

 DK 46: Azam wanaanza kipindi cha pili kwa kasi na kufanikiwa kupata ambayo haizai matunda.

 Kipindi cha pili kimeanza AS FAR Rabat 2 - 1 Azam FC 

 Mpira ni mapumziko

DK 45: Mwamuzi anaongeza dakika 3 

DK 43: Azam wanafungwa bao la pili hapa -AS FAR Rabat 2-1 Azam

 DK 38: Kipre Balou anapewa kadi ya njano - AS FAR Rabat pamoja na kuwa pungufu wanacheza mchezo wa kasi na nguvu.

 DK 35: Mchezaji wa AS FAR Rabat anapewa kadi nyekundu kwa kumpiga teke la uso Brian Umony

 DK 33: Kipre Tchetche anakosa bao la wazi akiwa amebaki na kipa tu wa AS FAR Rabat

 DK 30: AS FAR Rabat wanamiliki mpira kwa muda mrefu huku Azam wakicheza kwa mashambulizi ya kushtukiza

DK 25: Mchezaji yupo akitubiwa baada ya kupata maumivu wakati akizuia shuti liloelekezwa golini kwake

DK 20: A.F.R 1 - 1 Azam FC

DK 12:
AS FAR Rabat 1-1 Azam FC. Dakika ya 12 wanasawazisha.



DK 6: Goaaal John Bocco anaipa Azam bao la kuongoza hapa

KICK OFF

1. Mwadini
2. Himidi
3. Waziri
4. Mwantika
5. Atudo
6. Bolou
7. Umony
8. Salum 'sure boy'
9. Bocco (C)
10. Mieno
11. Kipre


Akiba
 

Aishi
Mwaipopo
Mwaikimba
Abdi Kassim
Mcha Viali
Jabir
Luckson

7 comments:

  1. Go go go Azam.Mungu Ibariki Tanzania

    ReplyDelete
  2. vijana msituangushe mmebeba bendela ya tz,

    ReplyDelete
  3. Kapeto ni kapeto tu, Huyo ni wa hapahapa tu pamoja na mwenzie Yanga ni kazi bure tu mwakani mapemaaa wataturudisha vichwa chini!! Karibuni nyumbani mwendelee kutuuzia ice cream!!

    ReplyDelete
  4. wachezaji wetu hawapo makini.penalt ya kukosa kweli tena ni muhimu.dahhh

    ReplyDelete
  5. Nawapa pole sana Azam na hasa John Bocco kwa kukosa Penalti dakika zile.Kwa timu ya Azam kufikia kiwango kile ni hatua moja kubwa sana.

    Bocco:Pamoja na kukosa penati hiyo lazima ufahamu kwamba kuna wakati timu inakuwa inakuhitaji uisaidie katika mazingira kama yale.Azam ilikuwa inahitaji lile goli kuliko kitu kingine.Kuna penati za kawaida kwenye mchezo,na kuna penati kama hiyo ya jana kwenye mchezo wa mwisho na wa mtoano na katika dakika kama zile.Tafakari

    ReplyDelete