Search This Blog

Sunday, May 19, 2013

DAVID BECKHAM ALIVYOAGWA KWENYE MECHI YA MWISHO BAADA YA KUTANGAZA KUSTAAFU

David Beckham na familia yake katika mechi yake ya mwisho kuichezea PSG baada ya kutangaza kustaafu soka.

David Beckham akiagana na kocha wake Carlo Ancelloti 

Machozi yakimtiririka David Beckham wakati uwanja mzima uliposimama kumuaga




1 comment: