Search This Blog

Friday, May 24, 2013

BREAKING NEWS............AMRI KIEMBA ASAINI YANGA

WAKATI Haruna Niyonziam akiwa amesaini mkataba wa miaka miwili kuichezea Yanga, habari zilizotufikia hivi punde zinasema kiungo wa Simba, Amri Kiemba amesajiliwa na Yanga tayari kwa kuitumikia timu hiyo kwa msimu ujao.
Akizungumza na mtandao huu, mtu mmoja kutoka kamati ya usajili ya Yanga, amesema Kiemba amesajiliwa kwa mkataba wa miaka miwili ili kuongoza nguvu katika safu ya usajili ya Yanga.
Mtandao huu unaahidi kuwasiliana na Kiemba muda mfupi atakapotoka mazoezini katika kambi ya Taifa Stars kujiandaa na mechi ya kuwania kufuzu Kombe la Dunia 2014.
Atakapotoka mazoezini mtandao huu utawasiliana naye kiungo huyo ili aweze kueleza ukweli juu ya usajili wake kwa Yanga.
Kiemba aliwahi kuichezea Yanga miaka ya nyuma kabla ya kutimka katika timu hiyo.

28 comments:

  1. ndo maana alitufelisha final game...bad perfomamnce sijawahi ona kumbe alikuwa anaogopa kutia kitumbua mchanga....xaxa hapo angalia tofauti na ulaya utaona Gotze anavyokamua kesho.

    ReplyDelete
  2. yanga is best tem ever hahahahahahahahahahaha i love you jangwani

    ReplyDelete
  3. U love jangwani or u love mafuriko?

    ReplyDelete
  4. hebu kuweni wastaarabu kutumia hela nyingi kusajili wachezaji mamluki?jee timu yetu ya vijana vipi?angalau hata makocha wetu wazawa wapelekwe masomoni ndio kitu cha faida kwetu sio kusajili mamluki.

    ReplyDelete
    Replies
    1. mamluki ndo mpango mzima ww wa wapi

      Delete
  5. mbele daima nyuma mwiko halaaaah yanga

    ReplyDelete
  6. JEGAh. hata kiemba xaxa yanga itakua inajaza wazee tu, watafte vijana.

    ReplyDelete
  7. good news dar young africans

    ReplyDelete
  8. good news for young africans fans and painfull for simba fans if it is true story

    ReplyDelete
  9. Aaaaa mpwa usifanyie kazi tetesi ukatoa hukumu wakati huuu ni muda muafaka kwa wachezaji waliomaliza mikataba kuwalipua na kuwabamiza viongozi wao fedha taslimu maaana ukisaini pesa nusu siku ukidai utaaambiwa huna nidhamu tunachezesha yoso mpwA tuwaunge mguu na mikono

    ReplyDelete
  10. Huyo Kiemba hajatoka mazoezini mpaka sasa? Acha us.....

    ReplyDelete
  11. Migogoro ya kijinga ndani ya Simba ndiyo itakayo idhoofisha timu, wapo watu wanaotegemea vilabu vya simba na yanga suala la Kiemba kusajili yanga silisshangai lakini amuulize Kijiko !!!!! yupo wapi ?

    ReplyDelete
  12. Hilo ndio tatizo la wachezaji wetu wa kibongo!halafu utasema kesho aombe tena kurudi simba!!! Lakini ndio maisha ya wachezaji wetu.simba tafuteni kiungo mwingine mkali zaidi mtamsahau kiemba!wamepita wengi tu,kikubwa ondoeni mamluki wote wa yanga ndani ya simba.

    ReplyDelete
  13. sioni sababu ya yanga kumsajili kiemba. atacheza nafasi gani? yanga imesheheni vipaji tupu.

    ReplyDelete
  14. Mimi ni shabiki wa Simba,lakini sidhani kama ni uamuzi sahihi kwa Kiemba kwenda Yanga kutokana na aina ya mchezo anaocheza.Nahisi ameona heri pochi kuliko carrier yake.Hata kama itakwisha potelea kwa mbali.

    ReplyDelete
  15. mimi coni haja kiemba aichezee yanga koz hana jipya zaidi ya chuji na domayo hata omega seme ni mzuri xna.

    ReplyDelete
  16. yap its a gud signing 4 us we need a commanding midfilder lyk kiemba bt we alxo need a net bluster lyk senntongo o ndikumana then we wil reach far in african championship

    ReplyDelete
    Replies
    1. Sioni kama kuna haja ya kuwa na kiemba kwani tayari yupo Domayo, Chuji,Nionzima sasa Kiemba wa nini.Mimi naona yanga inahitaji strikers wa uhakika wawili.Au kama ni kiungo awe zaidi ya Chuji,Domayo na Niyonzima Vinginevyo sioni sababu ya kumsajili Kiemba.

      Delete
  17. shaffih ndugu yangu wewe sijui mwandishi wa aina gani?unapoandika amesaini yanga uwe na uhakika si kusikia habari za mtaani wewe ni mwandishi mkubwa ambaye mimi mmojawapo nafuatilia sana blog yako,ninachokuomba kuwa na uhakika na unachokiandika usiwe unaropoka tu wakati huna uhakika,haya hebu tuthibitishie ukweli wa hii habari ili tuamini kaka

    ReplyDelete
  18. tutafute vipaji vipya tuachane na mamluki hao ndio wanaotuharibia timu

    ReplyDelete
  19. wajinga ndio waliwao! etti wanajifanya wanajiamini chezea bin cleb wewe...

    ReplyDelete
  20. yeye mwache aende yanga atakula benchi mpaka aseme alikwenda kutafuta nini pale pamesheheni vipaji vingi kwanza mamluki huyo kaa huko huko upate maisha

    ReplyDelete
  21. mwache aende yanga sisi hatuna pesa bwana
    vizuri ni ghali, msomali anatucost sana

    ReplyDelete
  22. AHAAAAAAAAAAAAAA UONGOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO


    ReplyDelete