Search This Blog

Thursday, April 25, 2013

USHAHIDI WA PICHA ZA MNATO WA MATUKIO MUHIMU YA MECHI YA DORTMUND VS MADRID: INTERVIEW YA MOURINHO AKISEMA MADRID WAMEMSAIDIA LEW4NDOSKI KUWA MAN OF THE MATCH

is2tnmoymJn9u GIF. The Marco Reus penalty claim v Real Madrid
Je hapa Dortmund walinyimwa penati?? Maoni
lewandowski onside HD Quality: Robin van Persies incredible volley v Aston Villa
Ushahidi kwamba Lewandoski alikuwa onside wakati akifunga bao la pili
i0N8j6jzst1bP GIF: Xabi Alonso foul on Marco Reus for Dortmund penalty
JE HII ILISTAHILI KUWA PENATI AU SIO?? MAONI


INTERVIEW YA JOSE MOURINHO BAADA YA MECHI DHIDI YA DORTMUND

3 comments:

  1. Bado naamini El Classico kuwa fainali Wembly. Tutashuhudia comebacks za kutisha hasa kwa Real Madrid .
    HALA MADRID !

    ReplyDelete
  2. Ni vema kutokata tamaa, km wajerumani wameweza kwao nadhan ht wahispania wataweza bt wale walitengeneza mlima mkubwa ndo maana kuna walakn. Matokeo ya kuccmua ndo huufanya mcheza wa soka uvutie watu wengi zaidi!

    ReplyDelete
  3. Siku hizi hakuna cha home and away ukijichanganya 2 safari imekkuta kwani hakuna ushindi wa mazoea,aliyetangulia katangulia 2.

    ReplyDelete