Search This Blog

Monday, April 22, 2013

Tamasha la Rugby Tanzania

 Kocha kutoka Marekani Jonathan Markowitz akiwafundisha mchezo wa Rugby wanafunzi wa kutoka shule za msingi mbalimbali za Dar es Salaam katika tamasha la michezo lilofanyika viwanja vya shule ya kimataifa ya Tanganyika Aprili, 20, 2013. Tamasha hilo lilidhaminiwa na kampuni ya ulinzi ya G4S. (Picha na Mpiga picha Wetu)
Wanafunzi wa kutoka shule za msingi mbalimbali za Dar es Salaam katika tamasha la michezo ya Rugby kuendeleza mchezo huu Tanzania na lilohusishwa na Bhubesi Pride kutoka Uingereza, lilofanyika viwanja vya shule ya kimataifa ya Tanganyika Aprili, 20, 2013. Tamasha hilo lilidhaminiwa na kampuni ya ulinzi ya G4S. (Picha na Mpiga Picha Wetu)

No comments:

Post a Comment