Search This Blog

Thursday, April 4, 2013

PHOTO OF THE DAY: IPI ILISTAHILI KUWA KADI NYEKUNDU??? JADILI


10 comments:

  1. zote red card
    shafii t cmz u r man utd fan bcoz inaonyesha hujaridhika up 2 nw..
    bt dts football, Chelsea mechi zake na man u hua zna zengwe kbao bt mkikaa kule sports extra mnaongea neutral kbs..
    jct accept t mmetoka, jipangen..

    ReplyDelete
  2. kwa mimi naona ya Benzema,, kwa mimi naomba ieleweke ndugu.

    ReplyDelete
  3. ile ya nani kimsingi ni yellow card lakini alijiangusha chini kana kwamba yeye ndio kafanyiwa foul(kosa hilo ni yellow card pia) kwa hiyo refa akaamua kujumuisha zote kwa red card

    ReplyDelete
  4. hahaha that how that things roll haters shutup ! HALAMADRID !

    ReplyDelete
  5. Suala sio kadi Nyekundu, ila ni Maono ya waamuzi. Lakini, Nani alidanganya kama kwamba yeye ndiye aliyefanyiwa hiyo faulo, nahisi mwamuzi alitumia hata huo uongo wa Nani.

    ReplyDelete
  6. Jaman wadau mi nilifatilia kwa umakin mkubwa ile rough ya Nani.....kosa la nani ni kuzid kuusukuma mguu wake wakat tayar ameshacheza rough.yaan kama anampiga mtu teke hivi.ilistahili red card.

    ReplyDelete
  7. Jamani tuache ushabiki bila kuanalyze mambo,benzema foul and ozil foul should be punished wale jamaa,na inshu ni kwamba refa wameshaonekana kama nao kuingia uoga lakini wakati mwingine kitu kinaonekana dhahiri kabisa.inshu ya nani hata mimi ningekuwa refa sitoi nyekundu nikitoa sana Njano,na kusema nani kama kajiongeza sijui ndo mana refa katoa red card hakuna sheria kama hiyo.Halafu kwa kumalizia tu mnapoangalia mipira hata kama ni kwenye mabanda pendeni sana kuwasikiliza wale ma commentator nini wanaongea,they are onfield and they have laptops in hand with all replay and rules and technology to see the replya at all angles.

    ReplyDelete
  8. Nani alistahili RED, lkn ukiangalia ya benzema, mchezaji wa PSG ndo alielekeza kichwa kwenye mguu wa mchezaji wa madrid.

    ReplyDelete
  9. Shafii yanga na united habari zake ni yanga united Barcelona hispania

    ReplyDelete