Search This Blog

Monday, April 22, 2013

KALI YA LEO: MCHEZAJI ABEBWA KWENYE TOROLI MARA BAADA YA KUUMIA!




Huwezi kuamini kwenye nchi kama ya Romania iliyoendelea kwenye medani ya soka unakuta mchezaji kwenye ligi daraja la nne anaumia ndani ya uwanja alafu anabebwa kwenye toroli kutolewa nje kwa ajili ya matibabu, Kwenye mchezo baina ya vilabu vya Timisul Urseni na SS Politehnica Timisoara mbele ya mashabiki 400, mchezaji aliumia na kubebwa kwenye Mara baada ya mchezaji huyo kuumia alisaidiwa na toroli huku bibi kizee mmoja akiwa amebeba chupa ya maji. After zipping onto the pitch, the injured player was helped into the wheelbarrow (with an Politehnica Timisoara iliibuka na ushindi wa mabao 9-0 kwenye mchezo huo.

No comments:

Post a Comment