Search This Blog

Sunday, March 10, 2013

MJADALA: JE HII ILISTAHILI KUWA PENATI DHIDI YA AZAM

8 comments:

  1. It is very Shem to have a blind referee in premiership.It is unfair because even if is handball but it was outside the box.so how could be a penalty? and no yellow card because a prayer was alone.? Thank you by Baba Hansy.

    ReplyDelete
  2. Kwa kweli hiyo ilikuwa nje kabisa ya eneo sasa sijui marefa wa kibongo wanaendelea ku refferee games, na hata kama ingekuwa ndani ya box, ile ni ball to hand na ni bahati mbaya na hakutumia mkono wake kuzuia hatari au goli. How can that be a penalty ????

    ReplyDelete
  3. Kiukweli haikua pelnat halali kwnz beki wa azam alikuwa nje ya eneo la penat pili mpira haukuwa na madhara kwa upande wa azam.

    ReplyDelete
  4. Poor ref and he was directly to the action, poor decision.

    ReplyDelete
  5. wakati mwengine tusilaumu marefa kle kitendo huwa kina tokea haraka and then anatakiwa kutoa maamuzi haraka, mm na ww tunaangalia reply zaidi ya mara tano ili kuhakiki kam ni penati au siyo tena kwa picha inayo kwenda taaratibu.mi naona ni uzembe wa mchezaji kujiamini kiasi kile na kulikuwa na haja gani kuamcsha mpira juu wakatai yupo peke yake..!Kanju

    ReplyDelete
  6. kwa umbali aliokuwa nao referee, na ukimuona yule beki baada ya kuunawa mpira nje akaucontrol ndani ya 18. so ni makosa ya kibinadamu na sio ubovu wa mwamuzi, na huyu beki yupo peke yake yake hasumbuliwi inakuwaje anunawa mpira ule? kumbuka anacheza timu kubwa kama azam. hawa wachezaji hawako serious, anastahili kupewa adhabu kama hiyo ili wawe serious kidogo, jamani ndo wanatakiwa kucheza timu ya taifa hawa

    ReplyDelete
  7. MMh sina hakika kwenye live game ilikuwaje? Maana hapo kwenye hiyo picha inaonekana ni nje ya 18, lakini pia inategemea Refa alikuwa upande gani na pia mshika kibendera alikuwa wapi? Tatizo hapa ni kukurupuka kwa refa inavyoonekana amefuata kelele za hiyo timu pinzani.

    ReplyDelete
  8. AZAM WALIJISAHAU KUMUONA REFA WAKACONCETRATE KWA KWENYE MECHI YA YANGA NA TOTO

    ReplyDelete