Search This Blog

Thursday, March 21, 2013

MATUKIO MBALI MBALI KTK PICHA KWENYE UZINDUZI WA AZAM COMPLEX!



 MC wa shughuli alikuwa ni PJ wa Power Breakfast ya Clouds FM.
    Hafisa habari wa Azam FC Jaafar Maganga.
    Mimi pia nilikuepo na mwanangu TUPATUPA...
    Dr Jakaya Kikwete akipita kwenye Bwawa la kuogelea....


    Hapa anakata utepe kuifungua rasmi Azam Complex...

3 comments:

  1. azam wako juu sisi yanga longolongo nyingi by peter mashosho bugando university mwanza

    ReplyDelete
  2. haya bhna wao wametangulia cc 2nafuata

    ReplyDelete
  3. Yanga na Simba tuige mfano wa Wenzetu Azam tuache majungu yasiyo na tija, tufukuze hawa wazee wanaolingia uchawi mana ndio wanaoturudisha nyuma kwenye vilabu vyetu. Timu ziwe kampuni na ziendeshwe kikampuni.

    ReplyDelete