Search This Blog

Tuesday, March 12, 2013

KALI YA LEO: MASHABIKI WAANGALIA SOKA UWANJANI WAKIWA KWENYE JACUZZI LA MAJI YA MOTO KUTOKANA NA BARIDI

Christoph regretted wearing no shorts once the stadium filled up (tageswoche.ch) 

Wakati baahi ya viwanja kwenye Swiss Super League vimekuwa vikiingiliwa na wadudu wanashambulia binadamu kwa kunyonya damu, klabu ya Grasshopper Zurich wenyewe wameamua kufanya kufuru kwa kuweka jaccuzi kwenye dimba lao.

Wakati wa ushindi wao wa 3-1 dhidi ya St Gallen siku ya jumamosi, mashabiki wawili wenye bahati waliangalia mchezo huo wakiwa jaccuzi la maji ya moto, wakinywa bia huku washabiki wengine wakipigwa na baridi wakitamani na wenyewe wangekuwa kwenye majacucuzi wakiangalia timu yao ikifanya balaa.
The players swiftly turned down requests for a beer run (Grasshoppers Facebook)Wachezaji wa Grasshopper wakishangilia na mashabiki wao

Jaccuzi hilo lilitolewa na wadhamini wa klabu hiyo wanaodili na vifaa vya bafuni Duravit. 
"I warned you not to stick it in the jet" (Grasshoppers Facebook)"I
Grasshoppers kwa sasa wanatumia uwanja wa FC Zurich Letzigrund kwa michezo yao ya nyumbani mpaka pale uwanja wao wa nyumbani utakapokamilika mwaka 2014, na kuna uwezekano mkubwa wakati uwanja huo nusu ya majukwaa yatawekwa majacuzzi kwa mashabiki VIP. 

No comments:

Post a Comment