BREAKING NEWS: FIFA YAIFUNGIA TANZANIA
Taarifa zilizoingia hivi punde kutoka kwenye chanzo cha habari kutoka TFF ni kwamba shirikisho la kimataifa la soka duniani FIFA limeifungia Tanzania kwenye mashindano yote ya kimataifa yaliyo chini. Kwa taarifa zaidi endelea kufuatilia mtandao huu.
sasa nadhani ule upuuzi wa kuwekana na kupeana nafasi ndo umefikia mwisho,.
ReplyDeletena nukuu maneno ya mzee mwinyi Tanzania ni kichwa cha mwendazimu
na wendawazimu wetu ndo huu sasa wakae wapeane majukumu sasa wamekaa kuendekeza ujinga tu na siasa pumbavu zao
nimefurahiya sana kwa kweli
kwa kipindi gani imefungiwa
ReplyDeleteduh, means hatuchez mechi za kimataifa kwa tmu za taifa na virabu au taifa tuu
ReplyDeleteChanzo chako kimekupa kifupi hvo tu?!!! na wewe haukuuliza kwa nn?!!..unashangaza!
ReplyDelete.Hivi nchi nzima ifungiwe SABABU ya mtu mmoja tu awe Rais wa TFF si angekata rufaa CAS au angesubiri uchaguzi wa 2017 ili apate uzoefu unaohitaji.Vyombo vya habari navyo haviwezi kukwepa lawama kwa kadhia hii.katika mkutano mkuu TASWA ridhiwani aliwaambia vyombo vya habari ni vya wananchi sio vya wamiliki wala waandishi,kwani hao ndio watumiaji/walaji wa habari hizo.vimepoteza sifa ya kuwa mhimili wa nne wa dola.
ReplyDeleteYametimia aliyoyataka Tenga na team yake
ReplyDeletekama ni kweli basi hizi zitakuwa taarifa nzuri saana kwa soka la bongo kwani wale wezi wakina tenge cjui pakacha wamelipata walokuwa wanalitaka wakatfute sehemu nyingine yakuibia..huku kishanuka
ReplyDeleteIWAPO TANZANIA ITAFUNGIWA NA FIFA WATALAUMIWA ITV KWA KUSHABIKIA NA NAIBU WA UTAMADUNI NA MICHEZO NDUGU AMOS MAKALA KWA KUJIDAI MJUAJI NA MBABE AWE MWANGALIFU HII NI AJIRA KWA VIJANA WENGI VIJANA HAWATAMCHEKEA NI VEMA KUTUMIA HEKIMA NA BUSARA KULIKO MATUMIZI YA MABAVU HIVI DR. FENELA MKANGARA ANAENDESHWA NA NAIBU WAZIRI WAKE
ReplyDeleteSI VIZURI KUJARIBU KUFA NINASHUKURU STAR TV WALITOA TAHADHARI WAKATI ITV WAKIWA VICHWA NGUMU WAKIMVIMBISHA KICHWA NAIBU WAZIRI WA UTAMADUNI NA MICHEZO AKIMFUNIKA WAZIRI WAKE SIJUI WATATUAMBIA NINI ??????????????
ReplyDelete