Search This Blog

Friday, February 22, 2013

USHAHIDI HUU HAPA MALKIA WA NYUKI AMLIPA MILOVAN CIRKOVIC


Ushahidi wa cheki aliyopewa Milovan Cirkovic na Malkia wa Nyuki kulipa deni alilokuwa akiidai Simba

14 comments:

  1. Muandiko wa Malkia wa Nyuki unaonyesha kuwa shule ndogo pale.Ingawa usemi unasema kuwa Ujanja ni pesa na si shule.

    ReplyDelete
    Replies
    1. mwandiko sio shule kaka ingekuwa elimu inapimwa kwa mwandiko basi madokta wote wasinge kuwa madokta chamsingi nikucheki mtu anakitugani kwenye kichwa sio kujaji mwandiko !!...

      Delete
  2. Ulimuona wakati anaandika hiyo cheque?Kama kuna mtu mwingine ndio alieandika je?

    ReplyDelete
  3. Hii cheque mbona haieleweki isije ikagoma kulipwa huko iendako. Kuna maandishi yanaonekana ni 'halisi' (original) na memgine ni kivuli (copy) ndani karatasi moja. Angalia mstari ulioandikwa pay in cash; Debt A/C utaona hizo namba kama ni kivuli na si halisi. Pia angalia jina la Circovic, ndani ya hivyo vibox kuna herufi nyingine ambazo zinaonyesha kuwa kuna mtu aliandika kwanza kabla ya mtu wa pili kuandika kwa wino wa bluu. Pia angalia huo mstari wa applicant's signature utaona sahihi ya kivuli. Je aliyeandika kwa wino wa bluu ni nani? Na nani kaandika hayo maandishi mengine?

    ReplyDelete
  4. hiyo siyo cheki! ni "Telegraphic Transfer form". Anonymous 1, huo sio mwandiko wa malikia wa nyuki, hiyo TT inaonyesha imetolewa copy ikawa haisomeki vizuri mtu mwingine akarudia kwa wino juu yake!

    ReplyDelete
  5. kaka umechemuka mwandiko sio kipimo cha elimu ya mtu,haha! tz kazi mwandiko.......kipimo cha kiwango cha elimu> otherwise big up!!

    ReplyDelete
  6. Sio shule ndogo,watu wamezoea ku click na kutumia keyboard sio peni.mwenyewe nshasahau habari za kuandika na nikiandika kama la kwanza.

    ReplyDelete
  7. Sio shule ndogo,watu wamezoea ku click na kutumia keyboard sio peni.mwenyewe nshasahau habari za kuandika na nikiandika kama la kwanza.

    ReplyDelete
  8. hivi /= inamaanisha nini sio hela za kitanzania? au mi ndo sijaielewa hi chek?!

    ReplyDelete
  9. Kweli hii si cheki bali no nakala ya TT, tatizo ni ukweli wake, anaewwza kuthibitisha ni Circo mwenyewe kama kalipwa. Lakn ukiiangalia kwa kuukuza hiyo isemwayo TT inatia shaka sana, inaonekakana kuna TT ilifutwa na kisha kuandikwa hii, sanabu? Labda Shaffii alieiona anaweza kusema ukweli! Pia angalia beneficiary bank ktk TT ni ya Muscat, wakati Circo ni wa Serbia, labda kaamua kuppkea fedha hizo Muscat!? Sijui.... Ila ipo kazi

    ReplyDelete
  10. Tatizo sio mwandiko bali, kuhakiki ulichoandika, Majina ya mtumiwaji yamekosewa. Hiyo TT itagota Bank kuu yao, yalishanikuta na mimi hayo, na hapo itachukua muda kutoka, mpaka tena huyo mama aandike barua ya kuthibitisha.

    ReplyDelete
  11. Sijapenda, jinsi pesa ilivyotumwa, ilitakiwa tuthibitishiwe kama kweli malipo aliyofanya huyo Mama R ni kwa ajili ya madeni anayodai Kocha kwa Simba. Mchezo unaweza ukawageuka Simba

    ReplyDelete
  12. Hujapenda nini?Kwani wewe ndiye uliyelipwa? Wewe kama huamini wasiliana na Cirko mwenyewe ili akupe ukweli,achana na unafiki!!!!

    ReplyDelete
  13. Mbona hapo ni kaiasi cha kutumia akili ndogo tu jamani!!!!! hiyo ilikuwa ni copy sasa mtu aliye-scan ndo alifanya kuiludishia maandishi ili iweze kusomeka vyema ndo maana a/c no hazijaludiwa kuandikwa pamoja sahihi. M-we wajanja si kila kitu mpaka kuwe na mweleweshaji

    ReplyDelete