Search This Blog

Wednesday, February 27, 2013

REAL MADRID YAICHINJA BARCELONA 3:1,YAINGIA FAINALI YA KOMBE LA MFALME!

2 comments:

  1. Nadhani huenda zama za Barca zinaelekea mwisho! C jambo la kawaida Barca kuwa kama inavyocheza sasa! Sababu zinaweza kuwa nyingi ama wachezaji hao hao wamecheza mechi nyingi na wamechoka mwishoe kwani mara nyingi kikosi ni kilekile! au umri nao umeanza kuwaacha wanapokutana na vijana wenye kasi na uwezo mkubwa mchezoni na hasa pale Iniesta na Xavi wanapobanwa! Kumbuka wamepoteza mechi mbili muhimu sasa na moja ikiwa kwenye uwanja wake wa nyumbani! Niliwapa nafasi kubwa ya kufanya maajabu kwenye mechi ya marudiano ya Uefa champions league lakini kwa mwendo huu nimepata mashaka sana! Hakuna mtu anayejua soka anayeweza kuibeza Barca lkn naona kama wanahitaji mabadiliko makubwa kama wanahitaji kuendeleza ubabe wao katika soka la dunia hii! Naomba kuwasilisha! NURU SPORTS MSM

    ReplyDelete
  2. i. Aging squad (kikosi kinazeeka)
    ii. Fatigue (wamechoka maana timu haipumzishwi hata!!)
    iii. Hawana mbinu mbadala wakikamatwa
    iv. Wrong tactics, hasa kumweka Iniesta pembeni kushoto
    v. Real Madrid...too good

    ReplyDelete