Search This Blog

Wednesday, February 27, 2013

MJADALA: AZAM Vs YANGA- GOLI AU SIYO GOLI!

40 comments:

  1. kwa nchi za wenzetu ni goli kabisa lakini kutokana na udhaifu wa marefu wetu ndio hivyo, sababu kipa amekwenda kujigonga kwa mchezaji aliyefunga goli

    ReplyDelete
  2. Clear kabisa!! Ni goliiiiiiiiiiiiiii!

    ReplyDelete
    Replies
    1. MNAJADILI NINI NYIE WAZANDIKI? KWANI MATOKEO YANASOMEKAJE? HILO SIO GOLI NDO MANA MATOKEO YALISOMEKA MOJA BILA, KWELI MITANZANIA NDIVYO TULIVYO MWEH

      Delete
    2. Kanza boko alirusha mikono so kwa kiasi kikuba inawezekana aliushika huo mpira ukiangalia kwa makini utaona the way alivyonyanyua mikono yake na pia inaonekana alishacheza faulo kwa kutumia mikono yake kumpush bartez hivyo mwamuzi alikuwa sahihi kabisa kwa maamuzi aliyoyatoa

      Delete
  3. benefit of replay....marefa huwa hawazipati kabisa, tulishaona hadi world cup magoli yaliyovuka mistali ya goli na yet refa hakuweka mpira kati. Itakuwa hii ya kujigonga? Tusisahau jamani hawa ni marefa na humanity yao ndiyo hufanya soka liwe tamu.

    ReplyDelete
  4. sio Goli, hakuna Goli pale. Kipa Ameguswa Dhahiri

    ReplyDelete
  5. YAANI WAMUZI WABONGO NA TFF IMEKAAA KISIMBA NA YANGA KWA HIYO LAZIMA ZIBEBWE

    ReplyDelete
  6. Hapana golikipa anapogongwa tu huwa ni faul hata huko ulaya iko hivyo tusiongelee ushabiki.
    That is the faul.

    ReplyDelete
  7. Haina ubishi ni goli.

    ReplyDelete
  8. Nyie wote mnaongelea ushabiki tu, hilo siyo goli, jamaa kaenda mbele ya kipa na kupushi. Huyo jamaa anayesema bongo...hapa London week mbili zilizopita chelsea walikataliwa goli kama hilo, pia Everton as well, tuache ushabiki wa kishenzi.
    Mdau
    London

    ReplyDelete
  9. Not goal due to obstruction which occurred during the winning a ball btn boco and batez

    ReplyDelete
  10. Ki ukweli mm nilikua uwanjani na nashabikia yanga ilolilikua goli halali, tatizo ni marefa fanya mpango weka clip ya rafu aliyochezewa kavambagu na mwadini cha kushangaza refa akapeta mpira ukawahiwa akapewa pasi akafunga cha kushangaza refa akapiga filimbi na faulo wakapewa azam. Marefa wasiwe wanatingishika kufanya maamuzi

    ReplyDelete
  11. me ni yanga lkn hilo ni goli....

    ReplyDelete
  12. ni goli halali kwa sababu ukiangalia vyema kipa hajafanyiwa faulu yoyote, na kwa kadiri mpira ulivyomwelekea mfungaji kwa angle aliyokuwepo kipa hakuwa na nafasi yoyote ya kuucheza mpira zaidi ya mfungaji. Ndiyo hivyo tena yameshatokea na Yanga washapokea pointi zao na maamuzi ya refa hayana rufaa!

    ReplyDelete
  13. Goal keeper hakufanyiwa rafu kabisa ila alizidiwa urefu na alifanya kosa la kuruka nyuma ya mshambuliaji badala ya kwenda mbele yake...ila kuna mlinzi mmoja wa yanga alikuwa akikimbilia mpira ule wa kona akiwa na mchezaji mwingine wa AZAM (hata kabla mpira haujamfikia mfungaji) , beki yule aliminywa na kusukumwa ili aende mbele na asiweze kuruka..kwa kuwa yuko ndani ya Box lake analindwa zaidi na sheria kuliko mpinzani wake.....tusilazimishe kuwa faul inamuhusu goal keeper. ni wazi Ally Mustafa naye alijiangusha baada ya kuona kafungwa hivyo macho ya watazamaji yanahusisha faul ile na Kipa....mimi nadhani ni wa kati muafaka TFF wawe wana share report za marefa na makamisaa....imani yangu ni kuwa maelezo ya refa na kamisaa ( kwenye) ripoti yatahusisha hiyo faul na beki aliyesukumwa....sio kipa...naomba tujadili kwani hapa ndipo wote tunajifunza...ila mjadala uwe wa kupenda soka la Tanzania sio unazi wa timu fulani

    ReplyDelete
  14. Goli zuri sana halina utata.
    Huyu kipa yupo nyuma ya mgungaji tena yeye ndio anamuingia Boko ila jamaa nguvu anazo anachukua mpira Mustapha anaanguka mwenyewe halafu unakataa vipi goli kama hili?

    ReplyDelete
  15. sio goli sababu golikipa alisukumwa.

    ReplyDelete
  16. ligi ni yao bwana huwezi kuwashinda kwa staili hiyo, hapo tujue hata mpira wetu hautakaa upige hatua kwa ushabiki huu na ubishi wa kutaka anayefunga hata kwa makosa liwe ni gori hakuna namna ligi yetu ndo imeshafia hapo ilipo

    ReplyDelete
  17. referee alitumia the rule against interference with a goalkeeper..sasa wapenzi wote wa simba wasiojua sheria za soccer mnatakiwa kujifunza kabla ya kuchonga....ukiangalia hiyo video GK akutembea kufuata mpira na striker wa azam akamblock asiweze kucheza mpira vizuri..ni shule ndogo ianatikiwa hapo..mnaongelea ulaya mmefika simba?mwezi wa sita yanga wanaenda germany jipangeni

    ReplyDelete
  18. refa apewe nafasi aulizwe ni kwanini? alikataaa bao lile ,kwangu mimi si goli kwa maana ya mfungaji kabla ya kufunga alishika mpira ule .tuangalie kwa makini mpira kautengeneza kwa kutumia kwapa.

    ReplyDelete
  19. Sio goli, wagegongana na goli limefungwa baada ya kipa kugusa chini.

    ReplyDelete
  20. mimi ni Simba lakini mazingira ya goli yanafana kidogo na lile ambalo Kavumbagu alinfunga Kaseja likakataliwa..............lilikua goli na hili ni goli pia

    ReplyDelete
  21. Jamani tuache Unazi lile ni gooooooooooooooooooooliiiiiiii halali kabisaaaaaaaaaaa bila hata kupepesa macho lazima refa nae ni mnazi wa yanga. Tunahitaji wasimamizi walio commited siii unazi. Ukiwa kazini fanya kazi acha unazi ukitoka kazini endeleza unazi wako

    Goli halali wajameni

    ReplyDelete
  22. Wewe uliyeleta hii clip ndo umeleta utata,kwanini usingeweka goli lilofungwa na kukubaliwa kwenye mechi hiyo,badala ya kuweka goli ambalo mwenye mamlaka ya kulikubali au kulikataa alishalikataa kuwa sio goli,mbona mnachezea kazi za watu jamani na kusababisha malumbano yasiyo na kichwa wala miguu.Ni kwa stahili hii migogoro na mivutano haitaisha kwenye soka la bongo kwa sababu hatuheshimu taaluma ya watu walioaminiwa na kupewa mamlaka na badala yake tunataka kuambiwa kile tunachotaka kukisikia.Tuheshimu maamuzi ya refa kuwa hilo si goli basi na tusonge mbele.Kama refa amekosea kuna utaratibu za kufuatwa ili hatimae haki itendeke lakini kwa stahili hii ya kupost vitu km hivi na kuachia kila mtu aseme lililopo moyoni ni hatari sana kwa sababu kila mtu anajifanya anaujua mpira pamoja na sheria na taratibu zake wakati vitu hivi vinakwenda vikibadilika mara kwa mara na ni marefa ndo wenye fursa ya kupewa hayo mabadiliko.kwa stahili hii hatutafika kokote zaidi ya kurudisha nyuma soka letu.

    ReplyDelete
  23. angle ya camera haikuwa nzuri sana kuweza kuamua. Siyo goli ndio maamuzi ya mwisho.

    ReplyDelete
  24. Tumeshawazoea Yeboyebo.Mwaka wa shetani huu.

    ReplyDelete
  25. Shaffi weka na clip za Kavumbagu kushikwa miguu na Mwadini na aliyoangushwa ndani ya box nazo tujadili

    ReplyDelete
    Replies
    1. clip hii kaitoa kwenye blog ya azam, angekuwa yeye mwenyewe angeweka matukio yote tata ya mechi ile kama vile penalt 2, goli la tegete na hii maana hata hao azam mambo yao ni bongo soka yaani wameona hiyo clip ndo mkombozi wao wamesahau penalt dhahili ndo maana yule refa huruma yake inawafanya wakumbuke goli fake.

      Delete
  26. Kwahiyo walitoka 1-1?

    ReplyDelete
  27. Reaction za wachezaji zinaweza zikatoa mwangaza! Barthez alijua ni goli, ndio maana hadi lilipokuwa linaingia alikuwa safi tu amepiga magoti. Alipoona limeingia ndio naye akajiangusha! Hebu angalieni hapo

    ReplyDelete
  28. si goli kabisaaaaaa, Boko ameutengeneza ule mpira kwa mkono wakiwa hewani yeye na Barthez, kisha akautengeneza tena kwa kutumia kwapa aliyekataa bao lile ni lineone.

    ReplyDelete
  29. maawajui mashabiki mda mwingine hawajui wanachokifanya uwanjani ulikuwa mbali hata playback,boko kaushika mpira mara mbili kabla ya kufunga ,kwanza aliushika ukiwa juuu ,ulivyoshuka chini kabla ya kupiga ukamgonga mkono ,masahabiki wa simba tunajua inawauma lkn angalien vizuri

    ReplyDelete
  30. goli hqalali wala halina ubishi boko amefanya nini alikuwa kwenye nafasi yake bila bugudha

    ReplyDelete
  31. nahisi asilimia kubwa wanaangalia ushabiki zaidi kuliko hiyo clip angalia boko alivyoruka.si sahihi kusema barthez alimfuata kipa wakati kipa yupo eneo lake la golini ataufuata mpira pale kokote ukipigwa na sikosa kwake ila wewe ukimgusa kipa kwenye eneo lake ni faulo.sasa tujiulize tena kipa alivyogongana na john bocco ilkuaje mpira umepigwa kipa kaufuata na boko kaufuata ila kipa kaguswa kwa kiasi kikubwa.na ukiangalia boko alistahiri kadi ule mpira ulikuwa kwenye motion ilikuaje akausimamisha ukatua kama aliruka na kipa alishika kwa mkono wa kulia na mpira kushika chini yake.asante mdau kutoka london umeonyesha unafuatilia ligi ya huko umeweza kugundua mapungufu ya kwetu.azam msipende kujitetea kwa kutumia video muweke na video ambazo yanga imekataliwa goli lake na rafu ya kavumbangu.yanga daima mbele nyuma mwiko.petronas akili yanga afrika

    ReplyDelete