Search This Blog

Tuesday, February 19, 2013

NAPOLI PAZIDI KUWA PACHUNGU KWA WACHEZAJI - BAADA MKEWE MJAMZITO KUPORWA GARI - NAE MERIK HAMSIK APORWA NJE YA UWANJA NA MAJAMBAZI


(Getty)
Marek Hamsik  amekuwa mhanga mwingine wa matukio ya ujambazi kwa kutumia silaha huko mini Naples-Italy.
 Hamsik, ambaye ndio alikuwa anaondoka uwanjani baada ya kuiwezesha timu kushinda 2-0 dhidi ya Sampdoria kwenye dimba la  Stadio San Paolo wakati alipotokea mwanaume mmoja mwenye bastola na kuvunja kilo cha gari lake.
Kutoka Reuters:
Ripoti iliyotolewa na radio rasmi ya Napoli ilisema kwamba mslovakia huyo alikuwa ndio anataka kuondoka kuelekea uwanja wa ndege wa  Capodichino ndipo tukio hilo lilipotokea.
Watu wawili walisimamisha gari lake, na mmoja akaenda kuvunja kip cha gari lake na akamuelekezea bastola mchezaji huyo, kisha akampora saa na vita vingine vya thamani, kabla ya polisi hawajafika kwenye eneo la tukio.
Mke wa Hamsik aliwahi kuporwa  gari akiwa mjamzito huko Naples mwaka 2011 kama ilivyokuwa kwa mchumba wa Ezequiel Lavezzi. Mwaka jana mke wa Edinson Cavani nae aliporwa kiasi cha  €18,000 

2 comments:

  1. Kaka mbona umechapia sana kuandika hii habari? Au ulikua na haraka sana kutype

    ReplyDelete
  2. Haya makosa ya kiuandindishi just too much au ndio swaga gari inakua gary..duh upo juu bro.

    ReplyDelete