Search This Blog

Wednesday, February 13, 2013

LIVE MATCH CENTRE: YANGA 4 - 0 AFRICAN LYON


Dk 90+3 FULL TIME! Yanga 4-0 Lyon

Dk 90 RED CARD..! Yusuf Mlipili wa Lyon anaonyeshwa kadi ya njano kisha nyekundu baada ya kumchezea rafu Haruna Niyonzima. Yanga 4-0 Lyon

DK ya 89 Yanga wanazidi kuliandama lango la Lyon.


Dakika ya 80, Nizar Khalfani anaipatia Young Africans bao la nne - African Lyon 0 - 4 Young Africans

Dk 78 Yanga inafanya mabadiliko, anatoka Hamis Kiiza anaingia Said Bahanuz.

Dk 75 Lyon wanaonekana wamepoteana katikati, Yanga imetawala kiungo.

Dk 69 Yanga inafanya mabadiliko, anatoka Simon Msuva anaingia Nizar Khalfan.

Dk 69 Goooo...! Kavumbagu anaipatia Yanga bao la tatu kwa penalti. Yanga 3-0 Lyon

Dk 67 Penaltii...! Yanga inapata penalti baada ya beki wa Lyon kuunawa mpira.

Dk 47 Hamis Kiiza wa Yanga anapiga penalti lakini anakosa.

Dk 46 Penaltii...! Yanga inapata penalti baada ya beki wa Lyon kuunawa mpira.

Dk 45 KIPINDI CHA PILI KIMEANZA

Dk 42 Goooo...! Tegete anaipatia Yanga bao la pili kwa kisigino akimalizia pasi ya Simon Msuva. Yanga 2-0 Lyon

Dk 21 Goooo...! Jerry Tegete anaipatia Yanga bao la kwanza kwa kichwa akiunga krosi ya David Luhende. Yanga 1-0 Lyon

Dk 12 African Lyon inafanya mabadiliko, anatoka Idd Mbaga anaingia Yussuf Mgwao.

Mpira umeanza hapa uwanja wa Taifa kati ya African Lyon Vs Young Africans


Young Africans line-up to face African Lyon today:
1.Ally Mustafa
2.Juma Abdul
3.David Luhende
4.Nadir Haroub
5.Kelvin Yondani
6.Athuman Idd
7.Saimon Msuva
8.Frank Domayo
9.Jerson Tegete
10.Hamis Kiiza
11.Haruna Niyonzima

Subs:
1.Said Mohamed
2.Shadrack Nsajigwa
3.Stephano Mwasika
4.Nurdin Bakari
5.Nizar Khalfani
6.Said Bahanuzi
7.Didier Kavumbagu

5 comments: