Search This Blog

Monday, February 18, 2013

KALI YA LEO: BAADA YA ARSENAL KUTOLEWA KWENYE FA CUP.

DAAH HII NI BONGE MOJA LA LIKIZO BILA MALIPO

4 comments:

  1. Dah inauma sana hizi fedheha tunapewa sisi mashabiki wa arsenal lakini ipo siku naamini ivyo tutarudi katika mstari na tutatwaa makombe kama zamani mbona toternham hawasemwi wenger wak up mzee tumechoshwa kuaibika hivi

    ReplyDelete
  2. ukiona wasemwa sana ujue wewe ni mkali unayetarajiwa kufanya mazuri but upepo haujakaa vzr,ww hushangai liverpool hata haiongelewi

    ReplyDelete
  3. ayaaahhhhh... na huo ndo ukweli wenyewe... watu wanatunza kumbukumbu..

    ReplyDelete