Search This Blog

Wednesday, February 13, 2013

HIVI NDIVYO SIMBA INAVYOJIFUA ARUSHA TAYARI KUWAUMIZA WAANGOLA JUMAPILIJulio akiongoza mazoezi

Mrisho Ngassa na Salim Kinje

5 comments:

 1. Hata hivyo mnatutia wasiwasi wawakilishi wetu! Kwa mwendo wa ligi labda!NURU SPORTS MSM

  ReplyDelete
 2. tuko pamoja wanangu.....tukaze buti...

  ReplyDelete
 3. KILA MWAKA KUBADILI MAKOCHA HATUWEZI FIKA KWA MWENDO HUU TUACHE SIASA WANASIMBA WATU WANAKIMBIA SISI TUNATAMBAA......... INACHEFUA

  ReplyDelete
 4. HIVI VIWANJA VIKO WAPI? TOKA SIMBA IASISIWE HAINA HATA MAHALA KAMA HAPA PAKUFANYIA MAZOEZI KUPANDA MAJANI NA KUWEKA MAJI NA UZIO KUDHIBITI ENEO INASHINDIKANA JAMANI VIONGOZI SIMBA ONENI AIBU INANIKERA SANA TENA SANA,MAUZO YA HENRY JOSEPH,MBWANA SAMATA, OKWI HAZIWEZI KUTENGENEZA ENEO KAMA HILI SHULE YA SEKONDARI NA SIMBA IPI TAASISI KUBWA

  ReplyDelete
 5. kazeni buti majembe ya ukweli,,,munyamaaaaaaa!!!

  ReplyDelete