Search This Blog

Saturday, February 23, 2013

HIVI NDIVYO CLOUDS THE DREAM TEAM ILIVYOPOKEA KIPIGO CHA 4-1















6 comments:

  1. KAMILISHA HABARI !
    UMEWEKA PICHA SAWA, KWA NINI HUITAJI TIMU PINZANI, WEWE NI RIPOTA WAKATI HUOHUO NI HADHIRA, JITAHIDI KUJIBU MASWALI YA MSINGI ILI HABARI IWE NA MAANA ZAIDI. HUO NDIO UANDISHI WA HABARI MZURI

    ReplyDelete
  2. hahahaaaa anaogopa kuipa promo iyo timu iliyowakandamiza...

    ReplyDelete
  3. nitajie jina la hii timu

    ReplyDelete
  4. Hiyo Timu inaitwa Golden Bush FC. Ni timu inayoundwa na wachezaji wa zamani kama vile, Nico Nyagawa, Waziri Mahadhi, Heri Morris, Abuu Mtiro, Yahaya Issa, Said Sued, Athuman Machuppa na baadhi yao wanaocheza ligi sasa wakiwemo Amri Kiemba, Salum Sued na Shaban Kisiga. Mwalim wao ni Madaraka Selemani. Wachezaji wamejikusanya na kuanzisha timu hii na nyingine ya vijana ambao wanacheza ligi daraja la nne. Lengo lao ni kutoa burudani na kusadia vijana wanaochipkia kwenye soka.

    ReplyDelete
  5. Wapinzani waliocheza nao wanaitwa Golden Bush Veterani maarufu kama wakali wa soka Dar es Salaam.
    Baba Rahma
    KIMARA

    ReplyDelete
  6. Kaka Dauda tatizo timu imejaa mamyuzesheni. Myuziki na mpira wapi na wapi.Ni kama mbingu na ardhi! Mav*** na blangeti

    ReplyDelete