Search This Blog

Wednesday, January 23, 2013

YANGA YAIPIGA TENA BLACK LEOPARDS CCM KIRUMBA - TEGETE SHUJAA


Dakika ya 75, Young Africans 2 - 1 Black Leopard

Dakika ya 60, Young Africans 2 - 1 Black Leopard
Kipindi cha pili cha mchezo kimeanza,
Young Africans inafanya mabadiliko wanaingia Athumani Idd,Frank Domayo, Haruna Niyonzima,Didier Kavumbagu na Jerson Tegete wanatoka Said Bahanuzi,David Luhende,Nurdin Bakari,Hamis Kiiza na Kabange Twite


 Here's Young Africans line-up to face Black Leopard today:
1.All Mustafa 'Barthez'
2.Mbuyu Twite
3.Oscar Joshua
4.Nadir Haroub 'Cannavaro'
5.Kelvin Yondani
6.Nurdin Bakari
7.Saimon Msuva
8.Kabange Twite
9.Said Bahanuzi
10.Hamis Kiiza
11.David Luhende

Subs:
1.Said Mohamed
2.Shadrack Nsajigwa
3.Stephano Mwasika
4.Juma Abdul
5.Ladislasu Mbogo
6.Athumani Idd 'Chuji'
7.Omega Seme
8.Frank Domayo
9.Didier Kavumbagu
10.Jerson Tegete
11.Haruna Niyonzima
12.Yusuph Abdul
13.Rehani Kibingu
14.George Banda
15.Nizar Khalfani
16.Godfrey Taita



4 comments:

  1. huwa sina nafasi kabisa ya kuona michezo hadi saa tatu usiku, hivyo nikiwa ofisini napata matokeo kutoka kwenye blog hii tunakushuru sana haya ndiyo maendeleo.

    ReplyDelete
  2. Mbona hakuna line-up ya timu Black leopard? Upendeleo waziwazi au hii ni blog ya Yanga nini? kenge!!!1

    ReplyDelete
  3. Yanga ndo habari ya mjini kwa sasa

    ReplyDelete