Search This Blog

Friday, January 18, 2013

SIMBA WAANDALIWA TAFRIJA NZITO NA MDHAMINI WA SAFARI YAO OMAN


Mdhamini wa safari ya Simba Rahma jana aliwaalika Simba nyumbani kwake eneo la Al Kheri jijini Muscat, Oman jana usiku kwa ajili ya chakula cha usiku.
Walikula pamoja na baadaye bendi maalum kutoka Tanzania iliwapigia muziki na wakaserebuka pamoja huku Rahma akimwaga noti kama maji.

Katika hafla hiyo, Rahma alikabidhiwa jezi ya Simba na Musleh Rawah ambaye ni mmoja wa wadau wa Msimbazi na jezi ya timu ya taifa ya Oman na kocha wa makipa wa timu hiyo, Haroun Amur.

PICHA NA SALEH ALLY WA CHAMPIONI/GLOBAL PUBLISHERS

3 comments:

  1. Mkinga wa Kimara DSM:
    Fanyeni mazoezi ya nguvu huko mliko kwani ni sehemu tulivu inayoweza kuwafanya mtulie na kufuata maelekezo ya kocha ipasavyo. Kufungwa na Timu ya Olimpic ya Oman ni suala la kawaida kwani na challange kwenu kujua makosa madogomadogo hasa kiufundi.

    ReplyDelete
  2. Kaza buti Malikia wa nyuki!Wewe ni jasiri mwanake wa shoka.Wanawake wote duniani wafate mfano wako,Atakae kusema vibaya,Atakua na matatizo binafisi,,,Mama oyeeeeeeeeee

    ReplyDelete
  3. Safi Malikia wa nyuki big up...

    ReplyDelete