Search This Blog

Sunday, January 6, 2013

MAZISHI YA KOCHA ALIYEIBUA KIPAJI SHOMARI KAPOMBE YAFANYIKA MOROGORO LEO

Source: http://audifacejackson.blogspot.com


 Umati wa watu uliofurika nyumbani kwa marehemu Yahya Mohamed'Berni' jioni hii
 Jeneza la marehemu Bern likiswariwa nje ya nyumba yao jioni hii
 Vilo vikitawa enei hilo
 Mwenyekiti kiti wa CCM mkoa wa Morogoro ambaye pia ni mbunge wa jimbo la Morogoro Kusini lnnocent Karogerezi[Wakwanza kushoto akijianda kwenda kuzi maeneo ya Kibwa juu ya Milima ya Uluguru.kwenye shati la draft anaye cheka ni diwani wa Kaya ya Mji Mpya Wencelaus Karogerezi ambaye ni kaka wa damu wa Innocent.
 Wananchi wakiingie kwenye gari jeneza la Mzee Berni kwenye gari tayari kwa kueleka kijiji kwao Kibwe juu ua milima ya Uluguru jioni hii
 Mchezaji wa zamni wa simba ambaye pia aliwahi kuifundiha timu hiyom na timu ya taifa Taifa Stars Mohamed Msomari mwenye kanzu naye alikuwepo kwenye msiba huo jioni hiio
Kocha maarufu nchini na mchezaji wa zamni wa Reli ya Morogoro na Pan Afrika Ally Jangalu akieleka kuzika kijiji cha kibwe kwa kutumia usafiri wake wa pikipiki jioni hii 
 Katibu mkuu wa chama cha makocha mkoa wa Morogoro ambaye pia mchezaji wa zamani wa Pamba ya Mwanza Edward Hizza aliyepakizwa akielekea kuzika kwa kutumia boda boda 
 Bingwa wa disko afrika mashriki na kati Maneno Ngedele'Super Ndegele' ambaye kwa sasa anaishi Afrika kusini naye alinaswa na mtandao huu eneo hilo la Msiba jioni hii,densa huo amekuja mkoan i hapa kula sikuu ya X Mass na Mwaka mpya.
 Wachezaji wa timu ya polisi Morogoro ambao kwa sasa wako kambini wakijianda na mzunguko wa pili wa ligi kuu ya vodacom unaotarajia kuanza Januari 26 nao walikuwepo kwenye msiba huo, ikumbukwe wachexaji wengi wa timu ya kikosi cha  polisi B kilichoshiriki mshindao ya Uhai hivi karibuni wametoka kwent timu ya Bern
 Umati wa watu ukishuhudia jeneza la Mzee Berni likiingizwa kwenye gari tayari kwa safari ya kwenda kupunzishwa kwenye nyumba yake ya milele
Mtandao huu ulimnasa mwenyekiti wa CCM  mkoa wa Morogoro Innocent Karogerezi[Wakwanza kushoto] akiteta jambo kwa vicheko na wachezaji wa zamani kwenye msiba huo walioshikana mikono  kulini ni mchezji wa zamani wa  Tumbaku na Reli ya Morogoro na 'Taifa Stars' John Simkoo na Husein Ngurungu mchezaji wa zamani wa Tumbaku ya Morogoro na Pan Afrika ya Dar es salaama ambaye aliweka rekodi  ya kuchea timu ya taifa kwa miaka 12 mfurulizo kwa sasa ni Ngurungu ni dereva wa magari makubwa,anayeangalia kamera ni katibu mkuu wa chma cha soko mkoa wa Morogoro'MRFA' Hamisi Semka

1 comment: