Search This Blog

Friday, January 4, 2013

CHAMAKH ASAJILIWA WEST HAM - MTOTO WA MWENYE TIMU ASIKITISHWA NA USAJILI WAKE

Welcome: Marouane Chamakh poses with the West Ham shirt

West Ham wamethibitisha kumsajili Marouane Chamakh kwa mkopo kutoka Arsenal mpaka mwisho wa msimu lakini uhamisho huo unaonekana haujawafurahisha watu wote.

Jack Sullivan, mtoto wa kiume wa mmliki wa West Ham David Sullivan, alitweet 'Nimesikitishwa na habari za usajili wa mkopo wa miezi sita wa Chamakh! sio chaguo langu'.
.

Jack Sullivan tweet
Jack Sullivan tweet

No comments:

Post a Comment