Kikosi cha Zanzibar Heroes kilichopambana na Burundi katika mchezo wa Robo Fainali ya Pili ya michuano ya Cecafa Challenge uliochezwa katika Uwanja wa KCC uliopo Lugogo nchini Uganda |
Wachezaji wa timu ya Zanzibar Heroes na Burundi wakiwania mpira wakati wa mchezo wa Robo Fainali ya pili ya michuano ya Cecafa Challenge uliochezwa katika Uwanja wa KCC uliopo Lugogo nchini Uganda |
Kipa wa Rwanda aliyelala chini akijitahidi kuokoa goli lililofungwa na Amri Kiemba baada ya kazi nzuri iliyofanywa na Mwinyi Kazimoto ya kuwapita mabeki wa timu ya Rwanda |
kazeni buti msilewe sifa, bigup kili staz and z'bar staz
ReplyDelete