Search This Blog

Saturday, December 8, 2012

BARA ACHENI KUTUSHIRIKISHA KINAFIKI TUIPELEKE TANZANIA KWENYE FAINALI ZA MATAIFA YA AFRIKA!

wachezaji wa Zanzibar Heroes wakishangilia baada ya kuifunga Kilimanjaro Stars kwa penalti 6-5 katika mechi ya kutafuta mshindi wa tatu na wa nne katika mashindano ya Cecafa Challenge 2012.


Kocha Mkuu wa timu ya Zanzibar Heroes Salum Nasoro Bausi ambaye ameshatangaza kujiuzu akiwa amebebwa  baada ya kuifunga Kilimanjaro Stars kwa mikwaju ya penati 6-5 wakati wa mchezo wa kutafuta mshindi wa tatu ya michuno ya Cecafa Challenge 2012 uliochezwa katika Uwanja wa Mandela Jijini Kampala
Wachezaji wa Zanzibar Heroes wakishangilia baada ya kuifunga Kilimanjaro Stars kwa Penati

2 comments:

  1. Watanganyika wacheni kuwadharau wa Zanzibar kwa kuwaponda na kuwambia zanzibar hakuna viwango vya mpira,,,

    Ndo hivyo wanakuonesheni kama wanaweza,wacheni ubinafs,

    Hemu wapeni nafasi ktk timu ya taifa ya Taifa star,wakuoneshen uwezo wao,

    Na s wazanzibar peke yao 2 ambao wanahitaji kupewa nafas ya kuonesha uwezo wao,ktk timu ya taifa,bali hata Watanganyika wanao cheza ligi za chini ambazo s Premier,wanastahili kupewa nafas kuonesha uwezo wao

    Na s kila sku kuishia kung'ang'ania wachezaji hao hao,ambao hawaleti mabadiliko ya mana ktk TAIFA,

    ReplyDelete
  2. du kwel wazenj wametubonyeza kizenj tujipange ss tugange mbele

    ReplyDelete