Search This Blog

Saturday, December 8, 2012

BREAKING NEWS! FIBERT BAYI NA GULAM RASHIDI WAIBUKA KIDEDEA UCHAGUZI WA TOC!


Waliokuwa viongozi wa kamati ya Olympic Tanzania ndugu Gulam Rashid (Raisi ) na ndugu Filbert Bayi (Katibu )wametetea  tena nafasi zao kwenye uchaguzi uliofanyika leo hii mkoani Dodoma.
Taarifa za matokeo ya nafasi zingine baadae !


3 comments:

  1. Salaam za pongezi kwa wapiga kura wanafiki wachache waliobeba dhamana kwa niaba ya waTanzania waliowaacha wazalendo wa kweli wakina Mwakalebela na kuwachagua wakina Bayi na Gulam. Inaonyesha ni jinsi gani wapo kiulaji na hawaitakii mema nchi yetu. Tutaendelea kuburuzwa mpaka kufa. Sijawahi kukutana na taarifa iliyoniuma kama hii ktk maisha yangu.TUTAFIKA KWELI..?

    ReplyDelete
    Replies
    1. wacha kutusi wewe mimi mtu wa iringa huyo mwakalebela namjua vizuri sana, na mtaa mmoja huyo mwanasiasa anatafuta pakula msifanye jambo msilolijua nyie watu. msisikilize maneno ya watu ukayabeaba na kushikia bango waliochagua ni watu na busara zao na maamuzi yao yaheshimiwe kama inakuuma kwa nini hukushiriki uchaguzzi.

      Delete
  2. Simkubali bayi kabisaaaaaaaaaaaa! ni muda wa yeye kuachia madaraka sasa hakuna lolote analofanya hapo kiukweli hata yeye roho inamsuta, na kama unaona unaendesha chama bila mafanikio basi waachie na wenzio sio wewe tuuuuuuuu! jamani tutafika kweli?

    ReplyDelete