Search This Blog

Wednesday, December 5, 2012

MRISHO NGASSA MBIONI KUJIUNGA NA AL MERREKH YA SUDAN!

Taarifa nilizozipata hivi punde baada ya viongozi wa Yanga kugoma kumuuza kiungo Haruna Niyonzima kwa klabu ya Al Merrekh,viongozi wa timu hiyo waliopo hapa nchini sasa wamegeuzia nguvu zao kwa mshambuliaji Mrisho Ngassa.
Endelea kufuatilia Blog hii kwa ajili ya muendelezo wa stori.

4 comments:

  1. kama YANGA wamekataa na SIMBA hawatakubali pia,,,

    ReplyDelete
  2. Ha ha sasa hii sinema nyingine... Kama kweli akisajiliwa Al Merrekh Sitamuamini tena Rage na Kaburu... Ila ni vizuri aende akajaribu maisha aisee siasa za pacha zilimmaliza.

    ReplyDelete
  3. al merrekh sio size ya ngassa bora abaki simba

    ReplyDelete
  4. Simba hawanaga kubania wachezaji kwenda kusaka life mbele but Ngassa hatocheza sana El-mereikh coz sio hayupo form ya hiyo club!!

    ReplyDelete