Search This Blog

Monday, December 31, 2012

MJADALA: NINI MAONI YAKO JUU YA VIUNGO HAWA WA KIHISPANIOLA

image

5 comments:

  1. wana weza sana na wameleta ushindani katika epl

    ReplyDelete
  2. Mbona hata si viungo muhimu kwa Hispania kama unavooonesha ktkt kicha cha hasbari yako. kwa Hispania tunawajua Xavi na Iniesta, hawa nadhani nimatokeo ya upenzi wako kwa ligi ya Uingereza , hasa Chelsea ila si muhimu kiivo kwa Hispania.

    ReplyDelete
  3. Mchezaji kutopata nafasi timu ya Taifa cio kwamba cio bora! Hawa watatu kwa sasa ndio bora duniani xavi(32)iniesta(31) watu wamewakalili tu bt kuna watu walitisha bila timu za taifa kama Zola/Arteta/Hleb/Cantona/ xo hawa watatu kwa sasa ni Da best!

    ReplyDelete
  4. Ni kweli, kigezo si timu ya taifa wal upenzi wa epl. Tukubali kuwa wana viwango ila Spain ina wachezaji wengi wazuri ukiachana na hao mlio wakariri kichwani. Cazora, Mata, Silva wazuri na ipo siku watatua Spain national team hata mmoja wapo.

    ReplyDelete
  5. mbona hata siwaelewi? wote hao mnaowataja (Carzola, Mata, na Silva) mnasema watatua timu ya taifa kivipi/lini? wote hao ni wachezaji wa timu ya taifa ya Hispania tayari, na walikuwepo katika vikosi vilivyoshinda World cup South Africa na kombe la Ulaya juzi hapa. Tutofautishe kuwa katika kikosi kinachoanza na kuwa kama mchezaji wa akiba. kukiangalia list ya wafungaji kwenye kombe la Ulaya lililoisha July wote hao wamo wakifunga magoli wakitokea bench!

    ReplyDelete