Search This Blog

Monday, December 31, 2012

HIZI NDIO STORY TANO ZILIZOPATA VIEWERS WENGI KATIKA MWAKA 2012 NDANI YA MTANDAO HUU

Story ya mwanadada Lulu kutoa maelezo polisi kuhusu tuhuma za kuhusika na kifo cha Kanumba ndio imeshika nafasi ya kwanza

LIVE MATCH CENTRE - Mitanange ya Yanga vs Azam na Simba vs Mtibwa ilipata viewers wengi na kushika namba 2

Story ya kuhusu kifo cha marehemu Steven Kanumba imeshika nafasi ya 3

Nafasi ya nne imekatamatwa na story kuhusiana na kesi ya kifo cha Steven Kanumba

LIVE MATCH CENTRE ya pili Kati ya Simba na Setif ndio inakamata nafasi ya 5

No comments:

Post a Comment