Search This Blog

Thursday, December 6, 2012

MATCH LIVE CENTER : TANZANIA vs UGANDA

2 comments:

  1. Kweli shaffih mzalendo, 2teshnda naimani ungekuwa umesha2wekea matokeo lakni leo wapi!

    ReplyDelete
  2. Kaka kwa hii habarui ya jana ya kufungwa mimi niko tayari sana tu KUVUNJA HAKI ZA BINADAMU, inaumiza sana kwa mtu kama mimi kwa sababu zifuatazo:-
    1. Nilitoroka kazini ili niende nikajiandae kuangalia bonge la mechi kati ya Zenji na Kenya{kwa mechi hii nafsi yangu na watazamaji wengine nyoyo naamini zilikongeka sana maana vijana walicheza mpira na si mpira uliwachezea wao} mechbi ilofata ilikuwa butu kwetu tangu tunaanza hakuna utulivu, jazba jazba basi ilimradi nasi tumefika nusu fainali basi ni matatizo tu kaka yangu.
    2. nilitumia energy nyingi sana kufikiria ni jinsi gani tutacheza, halafu yanakuja madudu duh inauma sana kaka shafii, mi nilichukia sana mwisho nikapata tu uamuzi ufuatao
    a> timu ikiwa inarejea wale wenye moyo safi kama wangu na wako tayari kushitakiwa kwa kosa la KUVUNJA HAKI ZA BINADAMU TUUNGANE PAMOJA, kisha twende Uwanja wa Ndege tukaipokee timu yetu huku tukiwa na Bendera ya Taifa mkono mmoja wa kushoto na kulia tukiwa na BAKORA.
    b> Bakora hizo zitztumika pale kila mchazaji atakapokuwa kitoka kwenda kwenye gari apite katikati ya mistari miwili ya watu wenye mapenzi mema walofika kumpokea ATAPOKEA BAKORA ZAKE ZENYE UJAZO MZITO KISHA UNAPANDA GARI KUELEKEA KAMBI YA KOMBE LA DUNIA.
    c> Staili hii ya mapokezi itasaidia sana kuwakumbusha wajibu wao watakapo kuwa kambini tena kwa mara nyingine, vilevile itasaidia sana kuwakumbusha majukumu yao wawapo uwanjani.
    d> BAKORA ni changamoto sana kwao hatutawadharirisha maana watakuwa katikati ya wanamapokezi hivyo hawataonekana na waansidhi wa habari wakaoneshwa kwenye TV na Magazetini.

    kaka haya ni maoni yangu tu kaka na si vinginevyo ila ninapasha kwa ajili hivyo najaribu kutafuta wenzangu waniunge mkono ili tuipaishe Bendera yetu VEMA asante kaka mi ni IZENGO BABY

    ReplyDelete