![]() |
| Ngumi kali ya kushtukiza iliyompeleka Pacquiao chini |
Pamoja na kupigwa Pacquiao alitoka uwanjani akiwa hana majeraha makubwa
![]() |
Aliyekuwa mgombea wa uraisi wa Marekani Mitt Romney alikuwepo kucheki pambano
Marquez akimfunza adabu Pacquiao
![]() |
| Mtu mzima Pacquiao Chaliiiiiiiiiiiiiiiiiii |
Wawili hawa wamekutana mara nne katika maisha yao ya ndondi
Pacquiao chaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii




No comments:
Post a Comment