Hongera mdogo wang DAVID MWANTIKA a.k.a ISSA kwa kuhamia Timu ya Azam fc ukitokea Tz Prisons.
Natambua ulkuwa na wakati mgumu kufikiria namna ya kuandika barua ya kuacha kazi kwa muajiri wako Jeshi la Magereza nchini.
Pia umepiga picha ya juu ya maisha yako ya baadae na kuona una tija kwa maelewano yako binafsi na Azam.
...
Mpira wa sasa ni biashara tosha pia uwezo wako ndani ya Uwanja nautambua na cjaona kama kuna Beki ambaye atakuweka benchi pale Azam.
Nategemea sasa kukuona kwenye Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars.
Kama tulivyoongea kwenye cm na kuniaga kama bro wako,fedha ulizopewa ni nyingi.
Hivyo ucwe na papara nazo au ukafanyia hanasa then mwisho wa cku ukajuta.
Pia mshahara wako wa mwezi umeongezeka mara dufu tofauti na wa Jeshi la Magereza.
Ww sio wa Kwanza kuondoka Tz Prisons kwa mahela mengi lakini unatakiwa kujiuliza wengine wapo wapi zaidi ya kugeuka wazee wa mizinga.
Nakutakia kila la heri Jembe lang na nitakumiss sana!!
so who to be blammed Mwandishi wa ile habari katika Mwanaspoti au wewe msafiri?naomba kujulishwa..
ReplyDelete